Incubator zinapatikana kwetu-ujasiriamali

Incubator zinapatikana kwetu-ujasiriamali

Expedito Mduda

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
545
Reaction score
268
Jamani watu wa ujasiriamali, tunapenda kuwatangazia wale wote wanaopenda biashara ya ufugaji wa kuku na wanyama wa aina ya ndege wote. Sisi tunatengeneza mashine za kuangulia vifaranga kwa bei nzuri tu. Mashine hizi ni full automatic kwa maana ya kwamba huhitaji kupoteza muda wakokwa ajili ya kugeuza mayai maana zina uwezo wa kugeuza mayai zenyewe. Karibini sana. kwa mawasiliano 0753903809, 0655903809 au expecamdu@gmail.com.
Picha ya mashine nimeiambatanishaView attachment incubator image.doc
 
zina tumia umeme? je huu umeme wetu wa mhando ukikatika inakuwaje?
 
Taja bei humu. Zipo ready-made au unatengeneza kwa order?
 
Back
Top Bottom