Kama inavyoonekana kwenye picha, ni nzima imetumika kidogo sana.
Bei Tsh, 2,400,000
Uwezo wa kutotolesha maya 1,500 kwa mara moja
Ufanisi ni 95% tegemea na ubora wa mayai yako
Nishati inayotumia ni umeme wa Tanesco
Sababu ya kuuza: Niko nazo mbili na kwa uwezo wangu wa kuzalisha na kutafuta masoko nimeona sina haja ya kuendelea kuiweka bila kuifanyia kazi.
Mahali ilipo: Mbezi Makabe
Mawasiliano: 0786283599 na Barua pepe: semkiwa@gmai.com
Naomba kwakua siingii sana humu basi kwa atakaokua na uhitaji wa kweli anipigie simu au kunitumia barua pepe.