Incubator. (vitotoleshi vya vifaranga)

Incubator. (vitotoleshi vya vifaranga)

Joined
Feb 3, 2016
Posts
9
Reaction score
2
Kwa uhitaji wa incubator zenye uwezo wa kuchukua Mayai kuanzia 30, 60, 100, 200, 300, 400, 500, 1000, 2000 hadi mayai 4000.
Mashine zetu zote zina warranty ya mwaka mmoja.
Mashine zetu zote ni full automatic.
Kwa Wateja wa mikoani tuna machaguzi mawili.1.kukutengenezea incubator yako hapa hapa tulipo na kukutumia.
2.kuja kukutengenezea incubator yako hapo hapo ulipo kama ni Mwanza, Arusha, Zanzibar, Mbeya na mikoa mingine yote. Uchaguzi ni wako Mteja. Tuna uzoefu na kazi hii sasa mwaka wa Tatu.
Bei zetu ni nusu ya bei za incubator zinazouzwa madukani zile za kichina. Kwa mfano incubator ya kichina ya Mayai 2000 dukani inaweza uzwa hadi Tsh 5million kwetu Mashine hii hii ya mayai 2000 tunaiuza kwa Tsh 2.5million.Bei zetu zinaendana na hali ya uchumi ya sasa.
Tunapatika Tabata kimanga na mbezi kimara kwa Wateja wa Dar.
Pia tunatoa kamisheni kwa yoyote anaye mwelekeza Mteja kwetu na akafanya ununuzi.
Kwa mawasiliano zaidi.
°0752054262°
 

Attachments

  • IMG-20160602-WA0012.jpg
    IMG-20160602-WA0012.jpg
    26.1 KB · Views: 74
Back
Top Bottom