Incubator Mwanza

Incubator Mwanza

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
752
Reaction score
154
Niko na tray 10 za mayai ya kuku wa kisasa nimetapokea leo, hivyo mwenye kujua wapi naweza pata huduma ya kuzitotolesha nitashukuru sana

Niko Mwanza mjini
 
samahani natafuta mwenye machine machine anisaidie kutotolesha
sio kwamba natafuta kununua
 
Karibu kaka sisi Tupo kahama kama utakosa hapo mwanza huku tuna toa huduma ya kutotoresha mayai piga 0755466011
 
Niko na tray 10 za mayai ya kuku wa kisasa nimetapokea leo, hivyo mwenye kujua wapi naweza pata huduma ya kuzitotolesha nitashukuru sana

Niko Mwanza mjini

Nashindwa kuelewa unachokihitaji ni kitu gani, na sometimes kama uko serious na ujasiriamali, jaribu kuweka hata contact zako hili uweze kusaidiwa mawazo. Ila kwa hapa Mwanza city Incubator ziko madukani, na pia wapo watu binafsi walio nazo na wanaziuza. Kama uko serious tuwasiliane kwa 0655 533543 SMS au kupiga moja kwa moja.
 
huyu mdau yupo sahihi kabisa ..... anahitaji space ya kuweka mayai kwenye incubator analipia kwa idadi ya tray za mayai yake yatakapoanguliwa ..... hii ni biashara very common kwa Dar Tray moja ni Tsh 10,000
 
nadhani kama umesoma vizuri utakua umeelewa ni nini ninachohitaji???????????? anyway asante nitakutafuta tubadilishane mawazo maana mie katika ufugaji sina sana uzoefu wa muda mrefu na vilevile kuhusu soko kwa mwanza
 
nitakua mwanza ijumaa pata full automatic incubator kwa gharama nafuu
 
Back
Top Bottom