Dadio
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 359
- 42
Kwa wale wanaojenga madrisha ya grill yanauzwa bei nafuu chuma za zamani. Futi tatu kwa nne na tatu kwa tatu. Incubator bei ni 2.5 mill yenye uwezo wa tray nane za mayai yaan 30 mara 8. Sababu ya kuuza havitumiki vipo stoo tu. Tunahitaji stoo iwe safi. N pm kwa anayetaka