Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,770
- 4,857
Incubator inayotumia Solar na gesi inauzwa ina uwezo wa kutotolesha mayai 352.Imetumika miezi miwili tu.Bei ni milioni moja na laki Saba(1700000/=)tu utapewa na kioo cha solar watt 190 na betri zake,invertor na charger control pamoja na mitungi miwili midogo ya gesi (empty).Mashine iko Kisarawe mkoa wa Pwani.