Increase the speed of your operamini browser

tumlack

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
675
Reaction score
49
Nendag katika andress box yko thne andka opera:config
Itaload na kuna menyu itakuja thn shuka chni utaona 30 xo change iwe 3600 thn save.
Baada ya hap katka andress box andka redir.operamini.com/turbo
After hapo ur done enjoy ur maxmum speed ktk simu yko.
 
Mkuu nimeshaku PM ile issue
 
Nendag katika andress box yko thne andka opera:config
Itaload na kuna menyu itakuja thn shuka chni utaona 30 xo change iwe 3600 thn save.
Baada ya hap katka andress box andka redir.operamini.com/turbo
After hapo ur done enjoy ur maxmum speed ktk simu yko.

Hujaelewa hiyo ni Loading time out kama web uliyosachi haijafunguka ndani ya hizo 30sec inaji-abort so ukiweka 3600 ni umeongeza muda wa kuload. U heard
 
mkuu mbona tukiandika
opera:config inasema invald web address
 
nimebadili 30-3600 ikakubali ila nkiweka 'redir.operamini.com/turbo' inasema invalid adress..au ndo inavyokua.?
 
hata mimi inaniandikia hvyo sasa sijui mleta mada ndio hvyo inatakiwa kuwa au?
 
hata yangu inazingua.

Nami nimefanya jitihada ya kugoogle nimepata suluhisho. Fuata maelekezo hapa chini. Kwangu yamekubali speed inaongezeka hata kwa slow internet.
1. Open operamini yako
2. Then visit http://www.operamini.com/portal/turbo
Itakwambia turbo enabled.
3. Close and reopen your operamini
4. Thats all you need.
 
Nami nimefanya jitihada ya kugoogle nimepata suluhisho. Fuata maelekezo hapa chini. Kwangu yamekubali speed inaongezeka hata kwa slow internet.
1. Open operamini yako
2. Then visit http://www.operamin.com/portal/turbo
Itakwambia turbo enabled.
3. Close and reopen your operamin
4. Thats all you need.

Thanks imekubali, ingawa hapo kwenye addres ni www.operamini.com/portal/turbo, badala ya www.operamin.com/portal/turbo .
 
jaman kwangu me haina majotro..labda kwenu..natumia 6.5
 
Nami nimefanya jitihada ya kugoogle nimepata suluhisho. Fuata maelekezo hapa chini. Kwangu yamekubali speed inaongezeka hata kwa slow internet.
1. Open operamini yako
2. Then visit http://www.operamin.com/portal/turbo
Itakwambia turbo enabled.
3. Close and reopen your operamin
4. Thats all you need.

Thnx kwa kurahsisha
 
Mkuu umetisha it works 100 pasee,yani nipo sehemu ambayo coverage ya signal za EDGE ni low mwanzo ilikua inaload slow lkn sasa yani full bata utazani nipo city centre nakula 3G.

Turbo ni Nomaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Back
Top Bottom