Include africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Include africa

Discussion in 'International Forum' started by KiuyaJibu, Feb 24, 2009.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2009
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Hii habari imetokana na Ubaguzi wa kutokuishirikisha Afrika katika mkutano utakaofanyika Uingereza majira ya kiangazi mwaka huu 2009;ujumbe ulisambazwa kwa member wote wa ONE.org kupinga uamuzi huo,kama ilivyotumwa kwangu:
  To:kiuyajibu@sms.ac
  15/01/2009

  ONE members around the world had petitioned Prime Minister Brown to invite an African Union representative. But before the petition could be delivered, he extended the invitation. This will be a key summit for shaping the road the world takes out of the financial crisis, and it's crucial that the world's poorest people be a part of that process, and it's great news that there will be a voice for the world's poorest people there.
  Niliongezea maneno yangu makali na nashukuru yalipelekwa kama yalivyo:
  -----Inline Attachment Follows-----

  Dear friend,

  Thank you. Your name has been added to the thank you note and your comments will be delivered to Prime Minister Gordon Brown.

  Thank you for taking a moment to say thanks. It's important for us to send a positive signal to politicians when they do the right thing, and I hope that you'll take a moment to share the good news and let more people express their thanks. You can just forward the sample letter below.

  Baada ya siku si nyingi jamaa wakalegeza msimamo wao kama inavyojieleza hapa chini:

  Subject: Including Africa

  Hi,

  I just signed a thank you note to Prime Minister Gordon Brown who recently invited a representative from the African Union at the G20 - a group of leaders of the world's twenty largest economies - summit in the UK this spring.

  Nilipofuatilia imeonekana hakuna sababu yeyote ya msingi ya kuitenga/kuibagua Afrika katika huu mkutano.
  Halafu nikawanajiuliza hivi sisi hatuna athari yeyote katika uchumi wa dunia?Kwasababu ukiangalia agenda husika katika huo mkutano hata sisi tunastahili kushiriki katika kupanga na kueleza matatizo yanayotukabili na kujifunza ni jinsi gani tunaweza kupambana na hii hali ya matatizo ya kifedha iliyoikumba dunia;nashukuru Mr.Gordon Brown hatimaye kakubaliana nasi kuhudhuria tofauti na uamuzi waliokuwa wameupanga awali.Hivi hawa jamaa wanatuchukuliaje sisi(Afrika)?
  Kama mnalolote la kusema kuhusiana na hili ningependa kusoma/kusikia kutoka kwenu,kwasababu inaweza kunisaidia mimi na wengine pia.
   
  Last edited: Feb 25, 2009
Loading...