Ukijikuta huku duniani tu,juwa uko vitani,kwa hiyo hiyi furaha yako kidogo uliyo nayo kuna watu hawataki uwe nayo,ukijichunguza wewe mwenyewe utagunduwa hupati furaha kwa sababu unawategemea watu ili upate furaha. Furaha/amani/utulivu havitokei ni mchakato wa kukubali kuwaacha baadhi ya watu