Wakuu ningependa kujua iwapo mtu mwenye BA. PROJECT PLANNING,MANAGMENT AND COMMUNITY DEVELOPMENT kama anaweza kupata kitengo JWTZ. Yeyote mwenye kujua naomba unijuze. Naomba kuwasilisha kwenu
kinacho mata unanini ndani ya kichwa chako na siyo umesoma wapi though nimesoma udom bt najiamini i am competent na cyo vingine as ubora wa elimu hupimwa kwa product mojamoja na siyo majumuisho