Inawezekana wachezaji wa yanga wanapoenda kuondoa like taulo wao ndiyo wanaenda kuloga

This is...

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,903
4,979
Nimewaza tu nje ya boksi.

Kwamba yawezekana Yanga ndiyo wachawi kupitia taulo la kipa wa timu pinzani.

Kwanini tunaona zile taulo zimebeba uchawi? Kwanini hatuwazi kwamba Yanga ndiyo wanaenda kuloga kwa kugusa mataulo ya makipa wa timu pinzani ili wapate magoli.?

Mbali na kugawa bahasha kwa marefa na wachezaji wa timu pinzani Yanga inao waganga walioajiriwa kwa ajili ya kazi hiyo. Na kila mechi wanakuwa uwanjani. Akiwemo Mzee Mpili nk

Sheria zinasemaje kwa mchezaji au kiongozi anayeonyesha hisia na matendo yakishirikina uwanjani??

Nb:Ingekua mchezo wa haki Yanga ingepoteza kwa kagera Sugar.

Haki ingetendeka Yanga ingesuluhu na Mashujaa.
 
Yanga wachawi sana. Uko sahihi kabisa
 
Ndio maana tukienda Afcon tunaishia kupata point mbili na kurudi nyumbani kwa mawazo kama haya, kwahiyo unatufanya tuwaze kwamba Yanga ikishinda ni ushirikina + bahasha, kwamba haina waçhezaji wa kuweza kushinda mechi?
 
Mbali na kugawa bahasha kwa marefa na wachezaji wa timu pinzani Yanga inao waganga walioajiriwa kwa ajili ya kazi hiyo. Na kila mechi wanakuwa uwanjani. Akiwemo Mzee Mpili nk
Acha uchokozi
 
Hatutegemei bodi ya Ligi kufumbia macho kitendo kilicho fanywa na Simba kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Tabora,
kwa kufanya vitendo vya kishirikina kabla ya mechi na tunafahamu taarifa iyo ipo kwenye taarifa ya msimamizi wa mchezo.

Tukumbuke Simba ilisha wahi kupigwa fain zaidi ya marambili na Tff kipindi Cha nyuma baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na vitendo vya kishirikina.

Vile vile Simba imesha wahi adhibiwa na CAF kutokana na vitendo kama ivyo.

Kwakua inaonekana ni vitendo vinavyo jirudia, bodi ya Ligi Inatakiwa kuchukua hatua Kali na kuachana na zile faini za milioni Moja kwa kitendo icho.

Tukumbuke hivi karibuni aliyekua mchezaji wa Simba GaDiel Michael alifungiwa mechi 3 na faini uku klabu pia ikitozwa milioni Moja baada ya kuingia uwanjani masaa 6 kabla ya mechi na kuanza ku wanga na kumwaga vitu uwanja kabla ya mechi na mbeya city.
 
Nimewaza tu nje ya boksi.

Kwamba yawezekana Yanga ndiyo wachawi kupitia taulo la kipa wa timu pinzani.

Kwanini tunaona zile taulo zimebeba uchawi? Kwanini hatuwazi kwamba Yanga ndiyo wanaenda kuloga kwa kugusa mataulo ya makipa wa timu pinzani ili wapate magoli.?

Mbali na kugawa bahasha kwa marefa na wachezaji wa timu pinzani Yanga inao waganga walioajiriwa kwa ajili ya kazi hiyo. Na kila mechi wanakuwa uwanjani. Akiwemo Mzee Mpili nk

Sheria zinasemaje kwa mchezaji au kiongozi anayeonyesha hisia na matendo yakishirikina uwanjani??

Nb:Ingekua mchezo wa haki Yanga ingepoteza kwa kagera Sugar.

Haki ingetendeka Yanga ingesuluhu na Mashujaa.

Yanga ikishinda bahasha na uchawi.
Simba ikishinda uwezo na timu nzuri.
Aliyeturoga kashakufa tayari
 
Nimewaza tu nje ya boksi.

Kwamba yawezekana Yanga ndiyo wachawi kupitia taulo la kipa wa timu pinzani.

Kwanini tunaona zile taulo zimebeba uchawi? Kwanini hatuwazi kwamba Yanga ndiyo wanaenda kuloga kwa kugusa mataulo ya makipa wa timu pinzani ili wapate magoli.?

Mbali na kugawa bahasha kwa marefa na wachezaji wa timu pinzani Yanga inao waganga walioajiriwa kwa ajili ya kazi hiyo. Na kila mechi wanakuwa uwanjani. Akiwemo Mzee Mpili nk

Sheria zinasemaje kwa mchezaji au kiongozi anayeonyesha hisia na matendo yakishirikina uwanjani??

Nb:Ingekua mchezo wa haki Yanga ingepoteza kwa kagera Sugar.

Haki ingetendeka Yanga ingesuluhu na Mashujaa.
Mangungu amefuga mifugo mingi sana pale ukoloni, mechi na Tabora united mlifanyaje? Na vipi kule south Africa mlifanyaje? Vipi waamuzi kina Tatu malogo na wenzake kuwasaidia kupata point ulikuwa ujazaliwa ama ulikuwa ndebile? Muwe mnaacha utoto usirushe mawe wakati uko kwenye nyumba ya vioo kabla ujaleta mada jiangalie kwanza mwenyewe matendo yako je ni msafi!
 
Kabisaaaa...tena dkk za mwisho mwisho ili huyo mudathiri wao afunge...
 
Naamini kuna kanuni au sheria inayokataza kitendo alichofanya Kibwana Shomari cha kunyata golini kwa Mashujaa na kuchukua taulo la kujifutia jasho la golikipa wa Mashujaa na kulirusha jukwaani kwa watu wa Yanga.
 
Nimewaza tu nje ya boksi.

Kwamba yawezekana Yanga ndiyo wachawi kupitia taulo la kipa wa timu pinzani.

Kwanini tunaona zile taulo zimebeba uchawi? Kwanini hatuwazi kwamba Yanga ndiyo wanaenda kuloga kwa kugusa mataulo ya makipa wa timu pinzani ili wapate magoli.?

Mbali na kugawa bahasha kwa marefa na wachezaji wa timu pinzani Yanga inao waganga walioajiriwa kwa ajili ya kazi hiyo. Na kila mechi wanakuwa uwanjani. Akiwemo Mzee Mpili nk

Sheria zinasemaje kwa mchezaji au kiongozi anayeonyesha hisia na matendo yakishirikina uwanjani??

Nb:Ingekua mchezo wa haki Yanga ingepoteza kwa kagera Sugar.

Haki ingetendeka Yanga ingesuluhu na Mashujaa.
Hahahahahahaha...Mkuu naomba nikuelewe ktk hili
 
Naamini kuna kanuni au sheria inayokataza kitendo alichofanya Kibwana Shomari cha kunyata golini kwa Mashujaa na kuchukua taulo la kujifutia jasho la golikipa wa Mashujaa na kulirusha jukwaani kwa watu wa Yanga.
Binafsi nategemea atapewa onyo
 
Naamini kuna kanuni au sheria inayokataza kitendo alichofanya Kibwana Shomari cha kunyata golini kwa Mashujaa na kuchukua taulo la kujifutia jasho la golikipa wa Mashujaa na kulirusha jukwaani kwa watu wa Yanga.
Wengine hatukuona tunaomba utuwekee clip
 
Back
Top Bottom