Wakuu,kuna suala linanitatiza japo mimi si mwenyeji sana hapa jf.
Hivi inawezekana kweli kupata chaneli za king'amuzi fulani kwenye king'amuzi kingine cha aina tofauti?
Mfano:- je naweza kupata chanel za ting kwenye azam tv?
Au je naweza kupata chanel za dstv kwenye startimes?
Natanguliza shukran,naomba msaada wenu wakuu!