Inawezekana kumpenda mwanaume asiye na hela?

Mabibi na mabwana natumaini wote mu muwazi nawakaribisha nyote tujadili suala hili mtambuka yaani Upendo/mapenzi na pesa

Wakati fulani I think that even marriage vows should be changed On Her Part to, "In money and in possible riches but if you lose your money or your job I Shunie will be out of your life" & they remove "For Richer for poorer" because the poorer part no woman wants no part of it.

And It is said For generations and generations, most Black men have been broke and still have lovers left, right and centre.

But despite that arguement above I would love to know whether is it possible to love a Black man who doesnt have money? Let’s talk

Je mwanamke anaweza kumpenda mwanaume hasiye na pesa, yaani aonyeshe kabisa ule upendo wa dhati kwa mwanaume hasiye na pesa. Inawezekana ?

Karibu tuzungumze .

Habari kaka, asante kwa mjadala wako mzuri.
swali :- "Je mwanamke anaweza kumpenda mwanaume hasiye na pesa, yaani aonyeshe kabisa ule upendo wa dhati kwa mwanaume hasiye na pesa. Inawezekana ?". Nadhani uliposema " Je mwanamke... hasiye na pesa" nadhani ulikuwa unafikiria "ulimwengu wa kufirika" kwa sababu hakuna mwanaume hasiye kuwa na pesa kwenye ulimwengu wa sasa. Kwahiyo nitajitaidi kujibu kwa sehemu mbili.kwanza nitazungumzia ulimwengu wakufikirika na mwisho nitazungumzia ulimwengu huu tunaoishi sasa.

Kwenye ulimwengu wa kufikirika
Huu ni ulimwengu ambao wanaume anamiliki Tshs 0/=. Idadi ya wanawake ni sawa au kubwa kuliko wanaume.Ni nchi au sehemu ambayo mtu yeyote anauwezo wakujitengenezea makazi na chakula bila kijiushisha na maswala ya pesa. Mfano wa hizi sehemu ni maeneo ya VIJIJINI. Watu huwa wanasema kwamba kuna vitu mbalimbali mwanamke huwa wanaangalia kabla ya kumpenda mwanaume.Kwa mfano wanawake wengine huwa wanaangalia umbile la mwanaume(urefu,ufupi au kitambi), Hekima, uchangamfu,ucheshi au Pesa. Kwenye ulimwengu wa kufikirika pesa sio kitu cha msingi sana kama unavyo ona hapo juu.Bila shaka unaweza kusema inawezekana kabisa mwanamke kupenda mwanaume bila pesa.

Kwenye ulimwengu halisi
Huu ni ulimwengu ambao wanaume anamiliki kiwango cha pesa ambacho nikidogo kuliko matumizi.Ni sehemu ambao hakuna namna mwanaume anaweza kujitengenezea chakula na kuwa na makazi pasipo kutumia pesa.mfano wa ulimwengu huu kwa sasa ni nchi kama "JAPAN". Pia kwenye ulimwengu huu vitu vinavyo wasukuma wanawake kuwapenda wanaume ni kama tulivyo vitaja hapo juu ila kwenye ulimwengu huu pesa ni kitu cha msingi sana kuliko vitu vingine.Hii ni kwasababu mambo yakuendesha maisha ni lazima kutumia pesa. Unaweza kusema uwezo wa mwanamke kumpenda mwanaume hasiye kuwa na pesa ni mdogo sana au hautakuwepo kabisa.

Kama ulivyo ona hapo juu mwanamke kupenda mwanaume inategemea vitu vingi ikiwemo sehemu na pesa.Kwa sehemu ambazo pesa haitumiki sana kuendeshea maisha naweza kusema chances ni kubwa kuliko sehemu ambazo zinategemea pesa kwa kila kitu.

Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom