UKARIMU Member Aug 6, 2020 9 8 Feb 25, 2021 #1 Kuna uwezekano kisheria kuishitaki NSSF mahakamani kwa kutolipa mafao ya mwanachama kwa wakati na ilipe fidia ya madhara aliyopata mwanachama kwa mafao yake ' kushikiliwa' na NSSF pamoja na gharama ya kesi? Naomba kufahamu hili.
Kuna uwezekano kisheria kuishitaki NSSF mahakamani kwa kutolipa mafao ya mwanachama kwa wakati na ilipe fidia ya madhara aliyopata mwanachama kwa mafao yake ' kushikiliwa' na NSSF pamoja na gharama ya kesi? Naomba kufahamu hili.
Mkaruka JF-Expert Member Feb 5, 2013 19,617 34,062 Feb 25, 2021 #2 Uwezekano upo ila mahakama huru (hasa kama Mporaji mkuu ni Dola) haipo.