Inawezekana kubadilisha kozi chuoni?

Inawezekana kubadilisha kozi chuoni?

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,897
Reaction score
3,706
Habari zenu
Hivi mtu unaweza ukaomba transfer kwenda chuo fulani kusoma kozi fulani alafu alafu ukifika uko ukabadilisha kozi tena hapohapo chuoni!
 
Habari zenu
Hivi mtu unaweza ukaomba transfer kwenda chuo fulani kusoma kozi fulani alafu alafu ukifika uko ukabadilisha kozi tena hapohapo chuoni!

Kama Mbowe Na UKAWA Yake Wameweza Kubadilisha Gia Angani Japo HAIKUBADILI Kitu Iweje Wewe Ushindwe Kubadili Kozi Mkuu? Inawezekana Tu.
 
Kama umepata chuo na mkopo,je ukiahirisha mwaka wa masomo unaweza kupata mkopo kwa mwaka unaofatia??
 
Back
Top Bottom