Inawezekana hii kweli?

Duh mbona Naona mashikolo mageni tu
 
Haiwezikani as long hizi zote zipo kwenye same speed lazima sumaku zitasikans, labda km simsku ingekuwa kwenye gari ingine
 
wazo zuri ila haiwezekani

kwa maana gari ina uzito mkubwa hivyo sumaku ya mbele lazima itaifuata ya kwenye gari (haitaweza ivuta kwa sababu ya uzito wake )
 
Hiyo ndo mnaskiaga wanasema ''DAIMA MBELE NYUMA MWIKO''
 
Nina swali Balanciaga
 
hii ni sawa na upande juu ya gari kisha usukume gari ili litembee
 
Itakusanyaje vyuma vilivyo kando ya barabara,hapo baiskeli ,pikipiki ,mabango,taa za barabarani,mageti ya nyumba na magari mengine lazima yanase hapo,bila kusahau na watu waliovaa cheni hereni nk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…