Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,432
- 7,965
Rivers jeπππ au hii kenta ni mbele daima nyuma mwikoKukata kona yatakata matair au hizo sumaku?
Hajahahaha..mkuu umenifurahishaRivers jeπππ au hii kenta ni mbele daima nyuma mwiko
πππHajahahaha..mkuu umenifurahisha
Mbona cjaelewa hii kitu wazee??
Sure, but its very possibleThe only problem here is that the whole system of the car should have to be too long for this to work effectively π
Sure, but its very possible
Nashangaa watu kwanini awaoni likiwezekani hili
Sema iyo picha imekaa ki 1717 ila mm navyowaza kichwani inawezekana kabisa
Tufanye inawezekana alafu ndo umefika sasa safari yako, unasimamishaje gari, unaondoaje nguvu ya sumaku kuvutana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unadiskonekti koneksheni ya sumaku π π π
Daaah mwache kuna idea anayo ila ni kushindwa kuwasilishadogo matokeo fom 4 umepat div ngap