Inawahusu wale walioko kwenye mahusiano

utampenda, utamtunza......utafanya yooooote......nature ya wanaume iko hivyo brooo......unafikiri wachepukaji hawawapendi wenza wao.....tena wanapendwa na mbwembwe kibao........tena hutaki hata mchepuko uzungumzie wife wako....unampenda unamlinda.......nature ndio shida......achana na kuzinguana....nature tu....asili.....
 
Brother

Hata mwanamke ulienae ni mzuri kuliko unaemtamani...kuliko yule unaemuona kapendeza huko ofisini au barabarani ..jaribu kwanza kumpenda huyu ulie nae, na kumpa upendo wako, huku ukiendelea kumpendezesha zaidi ya yule unae muona barabarani na kumtamani.. Trust me ukifanya hayo mambo atapendeza kuliko huyu unaemtamani....atanawiri vizuri, atatakata vizuri, na hata ukimtazama utajilaumu kwanini hukuligundua hilo mapema...

[HASHTAG]#Hakuna[/HASHTAG] mwanamke asievutia..... mawazo, maisha ndiyo yanawafanya waonekane kuchoka ...mpe upendo, mfanye apendeze then mtazame utaona mabadiliko.. Utaona alivyo mrembo kuliko hao unaowatamani huko njiani.
Bora useme wewe ......tatizo watu wanataka ambavyo vimeshapendezeshwa
..ila wao kupendezesha ni mwiko .,...mbadilike
 
Back
Top Bottom