Inauzwa: Smart Samsung Led TV 32

Inauzwa: Smart Samsung Led TV 32

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,461
Reaction score
1,544
Wakuu Tv tajwa hapo inauzwa nilinunua 24/11/2014 niko hapa Moshi bahati mbaya nimepata uhamisho kikazi kwa hiyo nauza vitu vyote.
Pia nauza Subwoofer sea Piano-SP 513.

Bei Led Tv ni 580000/- mimi nilinunua laki sita,hasara yangu ni 20000/- sabwoofer bei yake ni 90000/- mi nilinunua 120000/- bt niliinunua mwezi wa saba.

Mi niko hapa Moshi maeneo ya Soweto. Pia nina viti vya Plastic anayehitaji anaweza akapata kwa bei ya 10000/- viko viwili na stand ya viatu but ya kichina bei maelewano.

Asanteni sana, hasa watu wa Moshi au Arusha ndo tunaweza fanya nao biashara kwa watu wa mbali itakua ngumu kwa sababu ya usafiri maana sikukuu ndo zimeanza.

Call 0769344814
 
Hiyo tv ni original samsung product? Kama yes kuna 400k hapa sasa hivi nije kuchukua mm pia nipo moshi
 
Hiyo tv ni original samsung product? Kama yes kuna 400k hapa sasa hivi nije kuchukua mm pia nipo moshi

Ni orijinal kaka,hiyo hela yako ni nzuri lakini hailipi mkuu wangu,asante sana lakini uwe na jumapili njema
 
Wakuu Tv tajwa hapo inauzwa nilinunua 24/11/2014 niko hapa Moshi bahati mbaya nimepata uhamisho kikazi kwa hiyo nauza vitu vyote.
Pia nauza Subwoofer sea Piano-SP 513
Bei.Led Tv ni 580000/- mimi nilinunua laki sita,hasara yangu ni 20000/-
sabwoofer bei yake ni 90000/- mi nilinunua 120000/- bt niliinunua mwezi wa saba.
Mi niko hapa Moshi maeneo ya Soweto.
Pia nina viti vya Plastic anayehitaji anaweza akapata kwa bei ya 10000/- viko viwili na stand ya viatu but ya kichina bei maelewano.
Asanteni sana,hasa watu wa Moshi au Arusha ndo tunaweza fanya nao biashara kwa watu wa mbali itakua ngumu kwa sababu ya usafiri maana sikukuu ndo zimeanza.
Call 0769344814

mkuu hiyo sio hasara,ni gharama ya matumizi ya tv ,depreciation cost,mm ntakupa 520k kwa hivyo vyote ulivotaja!
 
mkuu hiyo sio hasara,ni gharama ya matumizi ya tv ,depreciation cost,mm ntakupa 520k kwa hivyo vyote ulivotaja!

Hapana boss,ushauri wako ni mzuri ila na hela yako ni nzuri ila haina maslahi labda badae tena Mungu akitujalia tunaweza patana bei
 
Mkuu hyo tv ulipata warranty card..?
Na ni series gani?
 
Mkuu 450 vipi kwa TV. Usisahau Magereza nao vunja bei!
 
Mkuu 450 vipi kwa TV. Usisahau Magereza nao vunja bei!

Bei yako ni nzuri mkuu ila kwangu haina maslahi boss wangu si unajua hizi vitu ni gharama sana hasa hizi orijino? ongeza laki moja na ishirini nikuachie TV nitakuachie na stand ta viatu bure
 
Bei yako ni nzuri mkuu ila kwangu haina maslahi boss wangu si unajua hizi vitu ni gharama sana hasa hizi orijino? ongeza laki moja na ishirini nikuachie TV nitakuachie na stand ta viatu bure

Kaka nimeshindwa mimi ila woote wakishindwa nambie kwa offa yangu hiyo! nipo hapa chang bay ya maimorial moshi
 
Kaka nimeshindwa mimi ila woote wakishindwa nambie kwa offa yangu hiyo! nipo hapa chang bay ya maimorial moshi

Kwa bei yako kaka hapana,samahani maana TV ni mpya kabisa bro
 
Mkuu 460k ni PM
Hapana kaka,hiyo bei hailipi,TV ni mpya maana nimeongea hata aliyeniuzia amesema naweza kumrudishia na akaniunganisha na agent wa samsung ninakoenda nikachukua nyingine
 
Viti tayari vimeenda bado Tv na sabwoofer
 
Mzigo bado uko sokoni wakuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom