Kweli hainifai, ngoja nipite kimya kimyaBasi we haikufai,..vile ndo vimeshikilia msingi wa mjengo!
Ngoja njipange nkiinunua ntakukarbshaKweli hainifai, ngoja nipite kimya kimya
Asante sana. Ila nitaishia njeNgoja njipange nkiinunua ntakukarbsha
Hahàaa, sawa! Utakula upepo hapo huku ukishushia kilaji na zile bilauri zetu za kiasili!Asante sana. Ila nitaishia nje
[emoji3] [emoji3] [emoji3] basi sawaHahàaa, sawa! Utakula upepo hapo huku ukishushia kilaji na zile bilauri zetu za kiasili!
Mshana hiyo ni nyumba ya urithi. Kuna ndugu yako mmoja hataki iuzwe!