Kitomai JF-Expert Member Joined May 21, 2009 Posts 1,138 Reaction score 365 Mar 13, 2025 #1 *π’ Apartment moja ya vyumba 3 kwa TZS 350,000,000 * π Vipengele Vikuu: IPO KATIKA UBORA: ipo katika jengo lenye swimming pool, gym, lift, na genereta Mauzo ya Kibenki: inauzwa moja kwa moja na benki kwa uhakika wa usalama wa miamala. π Mawasiliano ya Haraka: Piga simu kwa namba: 0784 225 000 β οΈ Angalizo: "Hii sio ya kukosa!" Fanya haraka kabla haijachukukiwa! Attachments IMG_20250312_095920.jpg 297.7 KB · Views: 23 IMG_20250312_095913.jpg 498.8 KB · Views: 27 IMG_20250312_095925.jpg 294.1 KB · Views: 24 IMG_20250312_095931.jpg 617.6 KB · Views: 23 IMG_20250312_095949.jpg 546.6 KB · Views: 22 IMG_20250312_095935.jpg 271.1 KB · Views: 23 IMG_20250312_100003.jpg 360.2 KB · Views: 27 IMG_20250312_100009.jpg 333.5 KB · Views: 25
*π’ Apartment moja ya vyumba 3 kwa TZS 350,000,000 * π Vipengele Vikuu: IPO KATIKA UBORA: ipo katika jengo lenye swimming pool, gym, lift, na genereta Mauzo ya Kibenki: inauzwa moja kwa moja na benki kwa uhakika wa usalama wa miamala. π Mawasiliano ya Haraka: Piga simu kwa namba: 0784 225 000 β οΈ Angalizo: "Hii sio ya kukosa!" Fanya haraka kabla haijachukukiwa!
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,003 Reaction score 54,080 Mar 13, 2025 #2 Nyumba ya vyumba vitatu unauza karibia nusu bilioi?π
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 62,703 Reaction score 105,261 Mar 13, 2025 #3 Eneo lina ukubwa gani?
majam19 JF-Expert Member Joined Nov 13, 2024 Posts 1,715 Reaction score 1,973 Mar 13, 2025 #4 Wenye pesa mnaitwa uku
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,759 Reaction score 37,371 Mar 13, 2025 #5 Tanzania huwa inanichekesha sana .bei ya kitalu cha kuchimba madini inabei ndogo kuliko nyumba zinazouzwa
Tanzania huwa inanichekesha sana .bei ya kitalu cha kuchimba madini inabei ndogo kuliko nyumba zinazouzwa