We Makamee Sema Harrier.
Gari ya Heshima ndio nini
Sijui kama mwenyewe sio Muhindi,maana imepambwa mpaka bei na yenywewe imepanda
Hahahaha,tena wale wa ArushaWanyumbani na wewe usiwe wapenda vya mteremko kama watanganyika,ngoja tuwakamate hawa wanyamwezi nakula mpaka 23 hapo.
Wanyumbani na wewe usiwe wapenda vya mteremko kama watanganyika,ngoja tuwakamate hawa wanyamwezi nakula mpaka 23 hapo.