Kwa kweli mie ni mtumiaji wa Voda huu ni mwaka wa saba,sihami ngo,eti niondoke voda kwa sababu ya hiyo ajali?kwani ni voda wamezamisha hiyo meli?acheni siasa kupoteza ukweli,wewe ungehamasisha watu kutongangania kupanda meli ambazo ziko ovaloaded na sio kuanza kupiga kampeni za kuisusia voda hapa.
Wewe nafikiri umemsikiliza zitto,zitto ni mwana siasa anayetafuta umaarufu,kwa kiongozi mkubwa namna ile sikutegemea kama angeanza kuilaumu voda,mtu kama yeye alitakiwa kutafuta na kulaani chanzo cha ajali,kutoa miongozo ya kuzuia isitokee tena na sio kuanza kuwashambulia watu wanaostarehe kwa kula hela yao.