kumbe kule kutusifia na viapo vya kutusaliti hua mnatung'ong'a tu mkuu?
...noti iveni yuaselfu
Ni mara ngapi umeshawahi kujisaliti mwenyewe kwa kutenda ambayo ulikuwa umejiaminisha kuwa hutakuja kuyatenda? Homo Sapiens ni kiumbe mtata na changamano sana !!!Goshhhhhh
Hahaa kwani unadhani nime kupinga mkuuNi mara ngapi umeshawahi kujisaliti mwenyewe kwa kutenda ambayo ulikuwa umejiaminisha kuwa hutakuja kuyatenda? Homo Sapiens ni kiumbe mtata na changamano sana !!!
Vice versa is trueHata umkojoleze Mara tatu mfululizo aloweshe shuka kuchepuka atachepuka tu
mimi siwezi kumuamini mwanamke wala kujisifu mbele za watu, huo ni upopomaKusema yamemkuta rafiki yako haipunguzi maumivu
mkuu kuliko kutusifia na kutufichia madhaifu yetu then mkachepuka ni bora tu mkatuambia ukweli ili hata mkichepuka tusiumie sana"anamgegeda vizuri sana"
Mjue wanaume tunawapenda na tunawatunzia sana heshima eeh? Ndio maana hata ukiwa mbovu bado tunalia vilio vyote na kukusifia kwa kazi nzuri. Sasa nawe usiende kujisifia, subiri usifiwe.
Una habari hata yule anaejijua kuwa ana shida anaumia sana akijua unachepuka!! Tena ndio unaona kakudharau.mkuu kuliko kutusifia na kutufichia madhaifu yetu then mkachepuka ni bora tu mkatuambia ukweli ili hata mkichepuka tusiumie sana
mkuu kwa nini ukishamjua hajiwezi why usiachane nae kuliko kucheat then akajua ukamuumiza?Una habari hata yule anaejijua kuwa ana shida anaumia sana akijua unachepuka!! Tena ndio unaona kakudharau.
Kuachana ni jambo lingine. Mbona nyie huwa hamuwaachi wake zenu ilihali mnachepuka?mkuu kwa nini ukishamjua hajiwezi why usiachane nae kuliko kucheat then akajua ukamuumiza?