Inatosha sasa nimefika kikomo

Inatosha sasa nimefika kikomo

masanjamkandamizaji

Senior Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
171
Reaction score
72
Ukiona Uhusiano uliopo hauendi vile unavyotamani uende waza upya, ukiona kila siku ni wewe tu unayeumia na kuumizwa na anayekuumiza hajali japo ni mwepesi wa kulia michozi ndoo nzima pindi ukimwambia unataka kumuacha,tafakari sana.

Na ikifikia kipindi umeona its enough na unataka Kumove On, usiruhusu kitu chochote kukurudisha nyuma, usiruhusu feeling zako mwenyewe kukulet down, usiruhusu marafiki wasumbue decision yako, wala usimruhusu EX kukuhadaa kwa maneno matamu ili urudi.

Funga Vioo, weka tinted kali.

Leo mvua imenyesha utaona EX anatuma meseji' 'Vipi na huko mvua imenyesha, nasikia baridi kweli'?

Wewe mwambie Mimi sio mamlaka ya hali ya hewa, kama unasikia baridi Washa Heater.

Hizi ni meseji tu za uchokozi ili apate attention yako na ukimruhusu atauliza mambo kadha wa kadha, mara hujanimiss na hii baridi, mara I wish you were here.

Atakutoa kwenye concentration yako as u progress to heal your wounds.

Usikubali kuwa mtumwa wa Uhusiano ambao wewe unapata 20% na yeye 80% halafu unasema 'Iam in a relationship'..my friend Ur in Prison sema tu Mapenzi hayana magwanda ya Orange kama wafungwa wa Keko.

Move on, your better Man/Woman is waiting for you we umekazana na hilo nungayembe.

Always move forward! SORRY FOR THAT BUT INABIDI NIWE MKWELI SASA NADHANI TUMEFIKA KIKOMO INATOSHA SASA.

#‎Ukiona_ujaelewa_jua_haikusu_inaemusu_kashaelewa_somo
 
Ukiona Uhusiano uliopo hauendi vile
unavyotamani uende waza upya,ukiona kila siku
ni wewe tu unayeumia na kuumizwa,na
anayekuumiza hajali japo ni mwepesi wa kulia
michozi ndoo nzima pindi ukimwambia unataka
kumuacha,tafakari sana!
Na ikifikia kipindi umeona its enough,na
unataka Kumove On,usiruhusu kitu chochote
kukurudisha nyuma,usiruhusu Feeling zako
mwenyewe kukulet down,usiruhusu marafiki
wasumbue decision yako,wala usimruhusu EX
kukuhadaa kwa maneno matamu ili
urudi..Funga Vioo,weka tinted kali!
Leo mvua imenyesha utaona EX anatuma
meseji'''Vipi na huko mvua imenyesha,nasikia
baridi kweli'?We mwambie Mimi sio mamlaka
ya hali ya hewa,kama unasikia baridi Washa
Heater...Hizi ni meseji tu za uchokozi ili apate
attention yako,na ukimruhusu atauliza mambo
kadha wa kadha,mara hujanimiss na hii
baridi,mara I wish you were here....atakutoa
kwenye concentration yako as u progress to
heal your wounds!
Usikubali kuwa mtumwa wa Uhusiano ambao
wewe unapata 20% na yeye 80% halafu
unasema 'Iam in a relatinship'..my friend Ur in
Prison sema tu Mapenzi hayana magwanda ya
Orange kama wafungwa wa Keko!Move on,your
better Man/Woman is waiting for you we
umekazana na hilo nungayembe..Always move
forward!
SORRY FOR THAT BUT INABIDI NI WE MKWEL SASA NAZANI TUMEFIKA KIKOMO INATOSHA SASA......
#‎Ukiona_ujaelewa_jua_haikusu_inaemusu_kashaelewa_somo

Ouch! Mimi love you so much for this message Thanks!
 
Hapo kwenye machozi ndoo hapoo...duh...ila asante...
 
Msikubali ushauri huu ng'ang'ania kwa lugha tamu ya mahaba atabadilika tu.
 
Tumekusikia!!!!!! zombie langu sina hata mpngo wa kuliacha
 
Mwandiko kila mstari page, hatariii sana uandishi wa namna hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom