Inatokea nini mtu napokufa?

Joined
Mar 17, 2016
Posts
12
Reaction score
12
Mara kadhaa nimepata kusikia mitizamo tofauti juu ya mtu napokufa, wengine wakisema hubakia kaburini na kuoza tu.

Wengine wakisema anaenda peponi kupumzika na hata wengine wamediriki kusema anaenda akhera kukabili mateso kwa yale maovu aliyotenda akiwa duniani.

Nini mawazo yko kwa jambo hili?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…