inataka mazoea jamani..

We unaacha kushughulikia mambo yako kazi kuwaangalia wananihii wetu miguuni, ebo??
 
View attachment 57575
jamani viatu virefu mukinunua vifanyieni mazoezi nyumbani kwanza. vivae ndani km 3dayz.. ukitoka navo mtoko visikushinde

Me nilijua tangu tunaingia Hyyat,Kilimanjaro.
watu tulijikoki na Skonkonko.
Mida ya dance,
thubutuuu...!!!
Mbona tulivua wenyewe,
chezea Kwaito na Kiduku wewe.....!!!
 
Hata ukifanya mazoezi there comes a time utavua tu. Vinahitaji short walk na ukae sio kwa disko, lol.
 
na wengine walijibebea viatu vya ziada kwenye pochii,, akaa bibi shida ya nini!!:sing: kutoka jasho bure.. piga flat yako kw raha zakoo
 
:biggrin1: kuna mdada mmoja hapo vidole vyake vya miguuni vibaya asiwe kabisa anavua viatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…