Inatafutwa Gari ya 6M chapu

Fundi ndio wa kwanza kukupiga pesa[emoji28]tena anapiga huku na huku unanunua kimeo ukaangaike nacho
 
Nina passo bado mpya kabisa, naiuza nataka ninunue kiwanja njoo na hiyo pesa nikupe gsri imetunzwa sana inatoboa popote ulipo hila kusimama njiani. Ukilipa tu nakuletea mpaka ulipo wala hina haja ya kuja na fundi. Ndo kwanza ina 60k km
 
Engine yake?? Boss
 
Sossy hana uongo [emoji3059][emoji3059]

Sossy nimetoka kwake hata week haijaisha.

Tumekubaliana tukutane sehemu mimi nimefika saa 3 asubuh yeye hadi saa 6 na nusu hajafika

Nikasema hata kama nina shida ila sio ndo nimsuburi mtu masaa 3:30 nikaondoka bila kumwambia nione atafika sa ngapi,saa 8:15 ananipigia nikamwambia nimeondoka

Kile kitu kilikwazA nikaacha kabisa kufuatilia kwenye page yake.
 
Sossy katisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…