Gari zote janja janja...alafu fund wako uyo wanaongea nae wanampa cha juu....siku ukienda garage ndio utapata ukwel wa gari hyo...bora uagize japan, tena tafuta yenye low mileage..View attachment 2131615
Kaka kwani kilikukuta nini????
Gari zote janja janja...alafu fund wako uyo wanaongea nae wanampa cha juu....siku ukienda garage ndio utapata ukwel wa gari hyo...bora uagize japan, tena tafuta yenye low mileage..
Bora ungesema una mil 8 kuliko hiyo 6....pia muuzaji awe mmiliki maana dalali atakupiga.Sasa ukiona siagizi huko ujue sina ubavu huo kwa sasa na sitaki kunyeshewa na mvua vile vile.
Fundi wangu sio tu fundi ni mshikaji.
Napo kuna 1.5M ipo pembeni kwa ajili ya km fundi asipoona tatizo kwa bahati mbaya basi ita cover hizo cost
7.5 mil hiyo ni namba D tena ambayo haina kipengele zaidi ya vitu vidogo vidogo
IST #C Z L
mwaka 2004
engine 2Nz
engine 1290 Cc
low mileage +KILOMETERS
full A/c
originally rim's
wheel caps
new tyre
haija rudiwa rangi zaidi ya bampa tuu
gari ni kali mnoo
Price 6.5 (fixed)
View attachment 2131758View attachment 2131759
IST #C Z L
mwaka 2004
engine 2Nz
engine 1290 Cc
low mileage +KILOMETERS
full A/c
originally rim's
wheel caps
new tyre
haija rudiwa rangi zaidi ya bampa tuu
gari ni kali mnoo
Price 6.5 (fixed)
View attachment 2131758View attachment 2131759