Inastaajabisha kulazimisha kupongezwa

Gusi 01

Member
Aug 7, 2018
19
9
Kuwajibika kwa watu unaopaswa kuwajibika kwao ni lazima na si hisani , na kupewa pongezi kwa uwajibikaji wako katika majukumu yako ni ihari ya mtoa pongezi.
 
Kuwajibika kwa watu unaopaswa kuwajibika kwao ni lazima na si hisani , na kupewa pongezi kwa uwajibikaji wako katika majukumu yako ni ihari ya mtoa pongezi.
Stahili ya pongezi huwa na maana pale mtu anapovuka malengo kwa kutumia vigezo vilevile vilivyowekwa. Nje ya hapo pongezi zote ni hewa tupu.
 
Back
Top Bottom