Inasikitisha SANA, So Sad

dah inamuma sana imenifanya nitoe machozi aisee,
 
Hii picha inaliza.....Asante kwani ni kikumbusho kizuri cha ni kiasi gani MUNGU anatupenda kwani hawa waliokatika shida hii HAWAJAMKOSEA CHOCHOTE MUNGU PIA...
 
Sioni picha,ila kama hata Madam X imemgusa basi hii kweli inasikitisha,nami naungana nanyi kusikitika
 
Ukiendelea kuitazama picha hii, chozi linaweza kukudondoka bila kijitambua!
 
"Think about Children...Think about the Generation..." Heal The World - Michael Jackson
 
Sioni picha,ila kama hata Madam X imemgusa basi hii kweli inasikitisha,nami naungana nanyi kusikitika

Ficha ujinga wako usifiche busara zako, Amavubi, hata ghost wapo waloumbwa asubuhi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…