thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Nani alaumiwe?Nilijikuta nikiwaza na kuwazua kwa jinsi Serikali inavyojitapa kuwa nchi hii tuna pesa nyingi na tunaweza kufanya lolote ila tumekosa kitu muhimu kiasi hiki kwa ajili ya wananchi katika hali za dharura mahospitalini.
Jana Rais alisikika alipomtembelea hospitali Askofu Mkuu wa Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu;"Niliongea na Askofu Msaidizi wakati huo wameelezwa na KCMC kwamba ni lazima Askofu Ruwa'ichi apelekwe Muhimbili.
palikuwa hakuna usafiri wa kumleta lazima wachukue ndege ya ambulance ya kumleta na ndege lazima ukodi Afrika Kusini au Kenya, basi wakati wanahangaika nikasema Madaktari wajiandae natuma ndege, ndipo nikatuma ndege harakaharaka ikaenda ikamchukua" - Rais Magufuli.Inahuzunisha.
Kwani Kigwangalah naye ni mkatoliki?!Mkatoliki full stop!msiremberembe
FaizaFoxy
Suala la JPM kua na huruma linaingilia wapi hapo......wakati yeye ndo kashikilia hazina yote na Atm ya BOT anaamua lolote hata bila kufuata protocol ....... . ...nyie ndo mnasifia upumbavu ananunua ndege kwa hela ya umma ile ile nakuacha kununua dawa ma hospitalini watu wanakufa kwa magonjwa ya kawaida.....Mr PhD siasa iko wapi hapo?!!!
Hilo litakuwa swala lingine mkuu. Ikiwepo moja tutashangilia na kudai ya pili, hii ndio nature ya sisi binadamu.Una uhakika kwamba zikinunuliwa hutasema kwamba wagonjwa wangapi wanapanda ndege bora zinunuliwe ambulance za magari?
Rais Magufuli ana moyo wa huruma.
Mungu azidi kumbariki!
Nilijikuta nikiwaza na kuwazua kwa jinsi Serikali inavyojitapa kuwa nchi hii tuna pesa nyingi na tunaweza kufanya lolote ila tumekosa kitu muhimu kiasi hiki kwa ajili ya wananchi katika hali za dharura mahospitalini.
Jana Rais alisikika alipomtembelea hospitali Askofu Mkuu wa Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu;"Niliongea na Askofu Msaidizi wakati huo wameelezwa na KCMC kwamba ni lazima Askofu Ruwa'ichi apelekwe Muhimbili.
palikuwa hakuna usafiri wa kumleta lazima wachukue ndege ya ambulance ya kumleta na ndege lazima ukodi Afrika Kusini au Kenya, basi wakati wanahangaika nikasema Madaktari wajiandae natuma ndege, ndipo nikatuma ndege harakaharaka ikaenda ikamchukua" - Rais Magufuli.Inahuzunisha.
Kwani watu 50m wanaugua kwa mkupuo mkuu?.....ni aibu aibu nchi kama Tz kukosa ambulance ya ndege wakati tunaweza kutaifisha dhabu za watu zaidi ya 300kg....Utabeba watu wangapi kati ya watu 50m?
Jibu ni kujenga na kuboresha hospitali za wilaya kwa speed ya radio.
Rais Magufuli ana moyo wa huruma.
Mungu azidi kumbariki!
Unateseka sana!Suala la JPM kua na huruma linaingilia wapi hapo......wakati yeye ndo kashikilia hazina yote na Atm ya BOT anaamua lolote hata bila kufuata protocol ....... . ...nyie ndo mnasifia upumbavu ananunua ndege kwa hela ya umma ile ile nakuacha kununua dawa ma hospitalini watu wanakufa kwa magonjwa ya kawaida.....
Watakao kuelewa si wengi hapa. Mtu amezaliwa na amekua kila siku anaona Ambulances zinazomilikiwa na hospitali ya Mwananyamala, hivyo anakariri maisha kila kitu government.Kwani huko Afrika ya Kusini na Kenya ni serikali ndiyo zina ndege za kukodisha? No, ni makampuni ya watu binafsi. Tuko bado mno kwenye mtazamo wa kuitegemea serikali.
Hawapo tena watu aina ya Ndesamburo wenye mtaji na uthubutu wa kufanya biashara ya kukodisha ndege? Tumezidi mno kujikita kwenye vibiashara koko vya baa na mabasi!
Serikali si baba wala mama. Kazi yake ni kuweka mazingira wezeshi tu.
Ndege ilitumwa ya kumpeleka Muhimbili!..mbona hakuwa na huruma kwa TL?
..kwanini hawakutumiwa ndege ya serikali imuwahishe Nairobi?
Ndege ilitumwa ya kumpeleka Muhimbili!
Umeeleza vizuri madaktari ndio hupendekeza mgonjwa apelekwe hospitali gani kama ilivyokuwa kwa Lisu na Askofu...waliokuwa wakimhudumia Askofu walitaka apelekwe Muhimbili, na serikali ikatoa ndege.
..familia ya TL walitaka TL apelekwe Nairobi, hawakuwa na fedha za kumsafirisha, na mgonjwa alikuwa ktk hatari kubwa ya kupoteza maisha. kwanini serikali haikumfikiria na kutoa ndege haraka asafirishwe?