Inasikitisha,ila ndio yashatokea!!


hapa ----- mimi au wewe?
maelezo mengi no mashiko fyuuuuu!!
 
some times ni bora kupigwa tuuu na siku zote vibaka wanafahamika.

mm huwanawakubali sana wanajeshi kwa azabu zao coz hata mm nilisha wahi kutana nao niliwahi sukuma gari kutokea super jeshi mpaka mwenge kisa gari iliharibikia pale super usiku.

na walishanikomesheaga vibaka wale wakuiba vitu vya magari walizama pale mnadani na kutembeza kichapo mpaka vitu vikapatikana some times inabidi kujifanya mwehu tuuu coz hii nchi isha haribika
 

mkubwa wa jeshi ni nani؟
mi namfahamu davis na npo nae hapa.
Leteni data kamili nizifikishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…