gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Habari hii imetolewa jana kupitia BBC nimeona ni vema tukapashana habari japo Tanzania kwa sasa vitendo hivi vya kukimbilia ughaibuni kutafuta maisha bora sio vingi.
Vijana ambao kwa asilimia kubwa wana asili ya kiarabu wengi wao kutoka Siria na Libya wamekua wakikimbilia ughaibuni.
Hawa ni waarabu lakini hata wabongo wapo baadhi wenye mchezo huu wakukurupuka hovyo tuwe makini unaweza ukawa mtoto sio riziki.
Ni vema kama mtu anamwona nduguye mwenye mawazo yakuzamia bila ya kua na ramani akamuonya kwani inahuzunisha kumuona kijana wa kiume shida inampelekea kuanza kujiuza ili aweze kujikimu.