Inasemekana;

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,530
*Babu zetu kipindi wanataka kuoa walikua wanaangalia Tabia wanachunguza miaka hata miwili[emoji6]*


*Baba zetu wakabadilika wakawa wanaangalia Sura mwanamke mzur ndo wanaoa*



*Sasa ichi kizazi cha ibilisi kimekuja na mpya hakiangalii sura wala tabia wakitaka kuoa wanaangalia MATAKO*
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji119][emoji119]
 
Ndo kilichobaki kw sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…