Inapendeza,ukipendezwa

Exformer

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
837
946
Sijui hata ni kwanini nimeandika maneno hayo, ila akili ilikuw inawaza vitu vingi vya kuadika hpo juu..
Jukwaa ni la mahusiano, na kweli naona watu mko bussy kuhusiana inapendeza..

Then, inapendeza ukipendezwa nayo
Nadhan ni maneno yanayofaa katika angke tofauti tofauti hayajabagua.
Wasomaji ni wengi
Watafutaje ni wengi
Walioumizwa ni wengi
Wanaofurahia pia ni wengi
Mapenzi ni jambo lingine, kupenda na kupendwa ni safari nyingine ..

Ikikupendeza, basi nikupendeze ili nipendezwe nawe.

Thread nzuri basi hata wasomaji wawe vizuri katika kuleta maoni yao.
Wengi watasoma na kusema hakuna mada ya kujadili hapa.

Ila kwann tusiijadili kauli kuu ya uzi huu
'Inapendeza,ukipendezwa'.

Uliwahi kupendeza, ukapendezwa?
Wakuu nyie ni watu makini, mnanielewa vizuri mnoo..

Pengine kama yule atakaye(i)hitaji kupendezwa basi nimpendeze

Alamsikiq bi nooour
Jioni tulivu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom