Inapangishwa ipo Mlimani city

Inapangishwa ipo Mlimani city

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
100
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Nyumba inapangishwa ipo Mlimani City mkono wa kushoto wa jengo
A NSSF,
Ina sebule, vyumba 3 viwili mastar, public toilet, jiko, A/c sebuleni na vyumbani, Parking gari 4, Mazingira safi na salama, Ni ful tiles, gpsum na slid window. Kodi tsh 800,000/= kwa mwezi. Kodi ya mwaka mpaka miezi 10
 

Attachments

  • 1433436724943.jpg
    1433436724943.jpg
    44 KB · Views: 804
  • 1433436774081.jpg
    1433436774081.jpg
    30.2 KB · Views: 741
  • 1433436856048.jpg
    1433436856048.jpg
    46.1 KB · Views: 719
  • 1433436990634.jpg
    1433436990634.jpg
    35.2 KB · Views: 719
  • 1433437247773.jpg
    1433437247773.jpg
    29.1 KB · Views: 683
  • 1433437343087.jpg
    1433437343087.jpg
    39.2 KB · Views: 692
  • 1433437448788.jpg
    1433437448788.jpg
    48.7 KB · Views: 686
  • 1433437565671.jpg
    1433437565671.jpg
    51.2 KB · Views: 709
Me huk kgma chumb kimoja kikubwa kama kanisa nalipa bu3 cna shda nimejwekea kasolar kang life goes on,

mkoani raha sana
 
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS
Picha nyingine hizi hapa.
 

Attachments

  • 1433443660717.jpg
    1433443660717.jpg
    47.4 KB · Views: 391
  • 1433443698743.jpg
    1433443698743.jpg
    50.9 KB · Views: 370
800,000×12=9.6M
Siunapata kibanda chako kabisa kwa hela hii unakua imeshafika kozi kahaa
 
Nipo huku Songea napanga nyumba self rooms 3 @ 50,000
 
Nipo Dar es salaam. Nataka nyumba ya kupanga ya kati ya Tshs.150,000 hadi 250,000/= kwa mwezi, iwe na bedroom 2, na sitting room 1. Iwe na umeme, na maji karibu au ndani kabisa. Penye usalama. Ipatikane kati ya maeneo haya: Kawe, Mwenge, Mbezi (Kimara), Magomeni, Kinondoni. na maeneo ya karibu na hayo.
 
hii kweli usije mjini..

bei za dar nyumba ni drama tupu..

sababu demamd ni kubwa kuliko supply
 
Kodi laki 8 alafu mnasema uchumi haujakuwa?

Tatizo sio uchumi bali gap la walionacho na wasio nacho.
 
800,000×12=9.6M
Siunapata kibanda chako kabisa kwa hela hii unakua imeshafika kozi kahaa

Inategemea wapi, ukiwa bush hiyo unajenga nyumba na chenji inabaki.

Lakini maeneo mengine ata kiwanja hupati kwa Million 10.
 
Uwa nasikia wanaojua kiingereza wanaita furnished. Sasa hii lugha ya furnitured, mmmhhhh!!!!!

Tiba

Hapo ndo alikuwa mkali English medium za siku hizi, maana hata ulimi unakuwa mzito, hautaki kabisa na bado karudia "full furnitured"; eeeh
 
Inategemea wapi, ukiwa bush hiyo unajenga nyumba na chenji inabaki.

Lakini maeneo mengine ata kiwanja hupati kwa Million 10.

chanika,mbande au mapinga njia ya bagamoyo unapata hata kwa heka na eneo kubwa na 5m za kuanzia ujenzi unabakinayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom