Inaonekana tayari kuna orodha ya wateuliwa "vivuli" walioandaliwa kwa ajili ya substitution

Hayo mambo ya kutembea na majina ya wateule mnayo huko chadema, mfano mzuri juzi mwenyekiti aliendeleza utaratibu huo kwa kutoa jina la msigwa mfukoni!
 
Hio mbona iko wazi..mkuu acha kulalamika vitu visivyo Na mantiki hata Mimi Mwenyewe ningekuwa rais lazima nngefanya mabadiliko ili ukipata viongozi wangu waandamizi.ngoja Na hawa awajaribu..tutaonana sababu nying za kuikosoa serikali yake
 
Iko wazi sana hiyo , hivi kuna mtu hajui hili ?

Mfano mmoja wa wazi kabisa ni mkurugenzi aliyetumbuliwa TCU , huyu aliahidiwa waziwazi kwamba atachomekwa mahali , na umeona yaliyomkuta Dr Mwele .
 
Kinachofanyika ni kutoa viongozi wote na wafanyakazi katika nafasi nyeti wa watawala waliopita na kuweka wapya mpaka list ikamilike.

Ukitumbuliwa si kwa vile umefanya kosa ila ni kuwazuga watu wasilalamikie ukabila/udini.

Tusubiri pale neno la kutumbua litapopoteza maana yake.
 
Ni wazi kuna orodha ya watu(wateuliwa vivuli) ambao tayari wanajijua ila wanachosubiri ni kuteuliwa rasimi tu na ndio maana hawachelewi kupatikana.

Bora mimi sina cheo.
LIKE HII YA
MKURUGENZI MPYA WA TANESCO KAPATIKANA WITHIN A SECOND.
 
Back
Top Bottom