Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,547 Reaction score 109,051 Oct 26, 2021 #21 Van De Beek said: Sakata lililo sababisha kuwekeaa kauzibe kwenye Vyeti kati ya CAF na UEFA unalijua? Click to expand... Unaleta taarabu sasa, lete vyeti maneno mengi ya nini?
Van De Beek said: Sakata lililo sababisha kuwekeaa kauzibe kwenye Vyeti kati ya CAF na UEFA unalijua? Click to expand... Unaleta taarabu sasa, lete vyeti maneno mengi ya nini?
Alexander Lukashenko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 4,320 Reaction score 10,184 Oct 26, 2021 #22 Matola said: Unaleta taarabu sasa, lete vyeti maneno mengi ya nini? Click to expand... Wewe ni wa kupuuzwa......
Matola said: Unaleta taarabu sasa, lete vyeti maneno mengi ya nini? Click to expand... Wewe ni wa kupuuzwa......
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,814 Reaction score 13,770 Oct 26, 2021 #23 KANYIMBI said: Malengo aliyopewa Kocha Gomes ni Simba ifike Nusu fainali. Hivyo ni halali Kutimuliwa Click to expand... Atafikaje wakati hana vyeti?
KANYIMBI said: Malengo aliyopewa Kocha Gomes ni Simba ifike Nusu fainali. Hivyo ni halali Kutimuliwa Click to expand... Atafikaje wakati hana vyeti?
mgunga pori JF-Expert Member Joined Jul 23, 2016 Posts 4,093 Reaction score 4,925 Oct 26, 2021 #24 Done
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,361 Reaction score 4,105 Oct 26, 2021 #25 Anayetaka kujua chama na mmakonde wameuzwa kwa sh ngapi aje PM
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,767 Reaction score 22,043 Oct 26, 2021 #26 ofisa said: Anayetaka kujua chama na mmakonde wameuzwa kwa sh ngapi aje PM Click to expand... Katafute hela ya dagaa na mkaa upike ule, hayakusaidii hayo.
ofisa said: Anayetaka kujua chama na mmakonde wameuzwa kwa sh ngapi aje PM Click to expand... Katafute hela ya dagaa na mkaa upike ule, hayakusaidii hayo.