Sijui majuzi nilikutwa na nini... kwanza, nianze kutamka bayana nilikuwa sina taarifa za Kibla kufanya remix ya Inaniuma Sana...dah, yaani nipo outdated ile mbaya! Lakini uzi huu umenikumbusha kwamba last week nilijisikia hamu sana ya kuisikiliza Inaniuma Sana, tena nakumbuka nilitaka kuitafuta online lakini sijui ilikuwaje nikasahau! Kwa hakika alichoifanyia Inaniuma Sana ni unforgivable! Ile haikuwa ngoma ya kuigusa unless kama unataka kuaibika! Hivi unaigusa vipi ngoma kama, according to me, Liberian Girl na kujidai unataka kuifanyia remix kama sio unatafuta kujidhalilisha?!INANIUMA SANA ni wimbo wenye 'emotional value', ambayo pengine Nature ameamua kuichezea na kuipuuza. Ameifanyia Remix kwa mtindo wa 'kigodoro' kwa kumshirikisha Msaga Sumu, mtindo wa kisasa, mtindo ambao unaendana na nyakati zilizopo, Old wine in a new bottle..
Kila zama na mfalme wake,zama za akina Nature,Chenge,Temba,Prof J ,Jide, Blue,Nako 2 Nako, T.ID. zimeshapita,,Sasa hivi Diamond ndio habari ya mujini
Nyimbo mbayaa
Nyimbo
change tena?.