Liverpool wataishia kuongelea historia, baada ya miaka 10 itakuwa historia kama leeds.
Hii timu sometimes inasahaulika but timu kubwa
Mie nilishangaa sana walipoamua kumuuza Suarez kirahisi rahisi. Suarez pamoja na matatizo yake lakini aliipaisha sana L`pool na kuwa tishio kwenye EPL na mwaka huu kama angekuwepo basi wangetesa sana UEFA na EPL. Sijui kama ni Suarez mwenyewe alitaka kuuzwa au management baada ya ile incident kule Brazil wakaamua kumtema. Maamuzi ya kumuuza kwa maoni yangu ni makosa makubwa sana sasa timu imebaki kuwa mdebwedo. Yaani jinsi Suarez alivyoipaisha Liverpool msimu uliopita sikutaka kuikosa hata mechi moja ya Liverpool.
mkuu kuuzwa kwa Suarez sio sababu ya msingi ya kujitetea kushuka kwa kiwango cha liver kwan pesa walizopaTa walishindwa kusajiri mtu mwingine mwenye uwezo wa kuziba Pengo la Suarez