Inanichangaya. Samsung tab!!?

Inanichangaya. Samsung tab!!?

mosara

Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
20
Reaction score
4
Kwa yeyeto anaefahamu, Sim card ina contacts zangu kibao, ila naiweka kwenye hiyo Samsung Tab majina hayaonekani, wana JF msaada juu ya hilo tatizo, au ndio hawezekani?? Contacts mpya zina display kwenye screen kama kawaida.
 
kama vp n PM
 
ni rahisi, fanya hivi..
1. fungua Dial Pad imeandikwa 'Phone'
2. chagua 'contacts' hapo juu
3. chagua options tab
4. chagua 'contacts to display'
5. chagua either SIM (contacts kwenye line yako), DEVICE ( contacts kwenye simu yako ) au ALL ( contacts zako zilizopo sehemu zote ikiwemo kwenye email zako).

note: natumia Android 4.1 Jelly Bean nadhani process zinafanana kwa android version zote au inawezekana ikawa na utofauti kidogo, otherwise concept ndo hiyo.

1.
screenshot2013042019292.png

2.
screenshot2013042019292.png

3.
screenshot2013042019295.png

4.
screenshot2013042019300.png

5.
screenshot2013042019302.png
 
Kwa yeyeto anaefahamu, Sim card ina contacts zangu kibao, ila naiweka kwenye hiyo Samsung Tab majina hayaonekani, wana JF msaada juu ya hilo tatizo, au ndio hawezekani?? Contacts mpya zina display kwenye screen kama kawaida.
rudisha kwenye simu yako ya zamani, then copy contact to sim card then rudisha kwenye tub utaziona.

Hongera kumiliki tub, net yake ni faster kuliko Ipad.
P.
 
Du hapo umepiga ndege wawili kwa jiwe moja,shukrani nami!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom