Kuna uwezekano mkubwa wa Lowasa kuibuka mshindi japo mwembamba.Ana mvuto usioelezeka msıngi wake ni nini na anapendwa sana.
Lakıni kuna nafasi ndogo ya UKAWA kupata wabunge na madiwani wa kutosha kuunda serikali na mabaraza ya halmashaurı.Kwa msingi Rais atatoka UKAWA lakini PM na ministers watatokana CCM.
Pia halmashauri nyingi bado inaonekana zitaongozwa na CCM.Najiulıza bila kupata jibu, ni nani atakuwa mpinzani?
Je ni kweli tutakuwa tumeiondoa CCM madarakani??