Inakuwaje matusi ya Kiingereza yanaruka hewani kwenye redio bila kuchujwa?

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
7,621
16,373
Hapa nasikiliza kituo kimoja chenye makazi yake huko kanda ya ziwa, wanapiga nyimbo za mabeberu; maneno kama b**ch, N**ger, f**k, motherf**ker yanakwenda on air bila kuwa censored. Na hii si mara ya kwanza kusikia, kuna siku pia nilisikia nikadhani labda walijisahau.

Hivi mswahili akiweka neno ny*ko au ms**ge kwenye wimbo wake watayaacha yaende hewani vilevile?

Kama haiwezekani, ni nini chanzo cha hii double standard?
 
Dj's wao watakuwa maloko, mbona Kuna clean edition za hizo nyimbo wanashindwa vipi kuzipata on websites
 
Uliangalia taarifa ya habari jana..wajapan...hawataki olimpick sababu covid sasa mabango yao... Ya lugha ya kiingereza wameandika matusi kabisa .nimejaribu kupitia TV walirusha ivyo ivyo ...yaani kuna TV moja wakalikuza kabisa daah.....nikataka kuziman tv
 
Back
Top Bottom