Bahati yangu
Member
- Sep 30, 2013
- 30
- 7
Inapotokea umemfumania mume/mpenzi/ usimsemeshe wala kumuuliza lolote kuhusu jambo alilofanya.Je huko ni kumsaidia ajirekebishe?
Ni adhabu tosha!! Ataondoka mwenyewe!
Vipi ukikutana na kauzu naye akaipotezea kama hakuna kilichotokea?