Inakuhitaji akili ya ziada kuwa Shabiki wa Simba

moodykabwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
625
602
Hawa mashabiki wa simba siwaelewi kabisa

Katika mechi ya yanga vs Al Ahali walikuwa wengi sana ila katika mechi yao ya Costal warabu wa Tanga vs Simba uwanja mweupe kabisa

Nashindwa kuwaelewa kiukweli

wakimataifa ni wakimataifa tu hata iweje

naona asaivi mnaaza kupigana fimbo poleni watani
 
hawa mashabiki wa simba siwaelewi kabisa
katika mechi ya yanga vs Al Ahali walikuwa wengi sana

ila katika mechi yao ya Costal warabu wa Tanga vs Simba uwanja mweupe

nashindwa kuwaelewa

kiukweli

yaelekea walitumia pesa yote kwa yanga na mafarao.........

jamaa wamewafaidisha yanga na mafarao kwa kuwaongezea mapato upinzani nao ni mzuri.
 
yaelekea walitumia pesa yote kwa yanga na mafarao.........

jamaa wamewafaidisha yanga na mafarao kwa kuwaongezea mapato upinzani nao ni mzuri.
Upinzani wao safi sana. Wajanja wamewauzia jezi feki za Al Ahly. Faida kwa Yanga.
Mechi yao hawaendi uwanjani. Hapo kweli kunahitajika akili ya ziada kuwasoma.
Leo wakipigwa tu, kocha hana kazi. Tusubiri!
 
hawa mashabiki wa simba siwaelewi kabisa
katika mechi ya yanga vs Al Ahali walikuwa wengi sana

ila katika mechi yao ya Costal warabu wa Tanga vs Simba uwanja mweupe

nashindwa kuwaelewa

kiukweli
Mkuu kupitia uzi wako tunaomba update please,mana mikia wenyewe wamegoma kufungua uzi.
 
Haya hongereni maana mpaka sasa mmeshatoka CAF.Swala ukata halina usimba wala uyanga.
 
Yanga piq hufanya vivj hivi,ni ulimbukeni wa sisi watz,..sio yanga fans au simba fans...woooote kwa ujumla wao...

soka la tz need "a long preparation"....
 
Hili la mashabiki lina ukweli ndani yake. Jana uwanja ulikua tupu kabisa wakati siku ya mechi ya yanga na al ahly, mashabiki wenye jezi nyekundu upande wa al ahly walikua wa kumwaga!! Inashangaza!!
 
Hawa mashabiki wa simba siwaelewi kabisa

Katika mechi ya yanga vs Al Ahali walikuwa wengi sana ila katika mechi yao ya Costal warabu wa Tanga vs Simba uwanja mweupe kabisa

Nashindwa kuwaelewa kiukweli
:( kwamaana hiyo hawa jamaa wa Simba ni MaJiNiAzi sio??
 
Back
Top Bottom