Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
DC nafikiri hatumshirikishi Mungu kwenye ndoa zetu wav wanasema wanamshirikisha kumbe wanafanya kinafiki tu nakumbuka kuna siku padri anafungasha ndoa kanisani akauliza "Ambaye hajawahi kutoka nje ya ndoa yake anyooshe mkono" kati ya watu wote wakiokuwemo kanisani walinyoosha wawili tu.

Hao wanaotoka nje ya ndoa zao kwa kisingizio ndoa ngumu wala sifanani nao kabisa.Hahaha..si unasikia wanaume wenzako wanavyofagilia kutoka?Naogopa na wewe usijae ukawa wale wale!
Na amini wapo wengine ambao hawajatoka na mikono hawakunyoosha, halafu hao kimbelembele front ndio asubuhi waliamkia kwa mahawara, what do you think TFDC nafikiri hatumshirikishi Mungu kwenye ndoa zetu wav wanasema wanamshirikisha kumbe wanafanya kinafiki tu nakumbuka kuna siku padri anafungasha ndoa kanisani akauliza "Ambaye hajawahi kutoka nje ya ndoa yake anyooshe mkono" kati ya watu wote wakiokuwemo kanisani walinyoosha wawili tu.
Pamoja na kumkosea sana Mungu steel alituumba kwa mfano wake, hii haikufanyi ubadili msemo wako?Hao wanaotoka nje ya ndoa zao kwa kisingizio ndoa ngumu wala sifanani nao kabisa.
halafu cjui mnajuaje kama mtu yupo happy/anapatiwa kila kitu kwenye ndoa yake,coz mnatuona tukicheka kwenye gari nakushikana mikono na mabusu? kuna zile ndoa ambazo zkiwa na matatizo ni ngumu kwa binadamu mwingine kujua labda mmoja wa wanandoa akushirikishe, ishu hapa ni kwamba hawa wanandoa watakuwa ni tabia yao ku cheat....
Mimi niliishia kusema na kufikiri kuwa labda wengine hawajaoa ndio maana hawakunyoosha mikonoNa amini wapo wengine ambao hawajatoka na mikono hawakunyoosha, halafu hao kimbelembele front ndio asubuhi waliamkia kwa mahawara, what do you think TF
Kuimba Hallelujah ni muhimu sana huwezi jua ni lini Mungu anakunyooshea mkono na kukwambia Mwanangu shika mkono wangu upumzike kivulinihahahahahahah lol
haya bwana wawili tu dahh
Nway ni kweli tunamsahau Mungu kwa mambo mengi sana
siku yakikufika shingoni au yakiharibika jumla hapo ndo tunamtafuta
Mungu na kuimba Hallelujah....
Gaga kwanini nibadili msemo wangu?Pamoja na kumkosea sana Mungu steel alituumba kwa mfano wake, hii haikufanyi ubadili msemo wako?
Yah inawezekana pia, kwa hiyo inaweza ikawa walionyoosha ni wazazi wa pande mbili tuMimi niliishia kusema na kufikiri kuwa labda wengine hawajaoa ndio maana hawakunyoosha mikono
Kuimba Hallelujah ni muhimu sana huwezi jua ni lini Mungu anakunyooshea mkono na kukwambia Mwanangu shika mkono wangu upumzike kivulini
Yakikufika shingoni ndio unarudi kwa mkeo/mumeo kwamba nisamehe eti ni shetani tunamsingizia shetani utafikiri tunakuwa nayehahahahahahah lol
haya bwana wawili tu dahh
Nway ni kweli tunamsahau Mungu kwa mambo mengi sana
siku yakikufika shingoni au yakiharibika jumla hapo ndo tunamtafuta
Mungu na kuimba Hallelujah....
Sababu ya hiyo quote yangu na huo mfano wa Mungu,nionavyo mimi unapaswa ujumuike na wakosaji na uwaelekeze mema badala ya kuwakana na kusema hufanani nao au inakuwaje hapo rafikiGaga kwanini nibadili msemo wangu?
Yakikufika shingoni ndio unarudi kwa mkeo/mumeo kwamba nisamehe eti ni shetani tunamsingizia shetani utafikiri tunakuwa naye
DC nafikiri hatumshirikishi Mungu kwenye ndoa zetu wav wanasema wanamshirikisha kumbe wanafanya kinafiki tu nakumbuka kuna siku padri anafungasha ndoa kanisani akauliza "Ambaye hajawahi kutoka nje ya ndoa yake anyooshe mkono" kati ya watu wote wakiokuwemo kanisani walinyoosha wawili tu.
Hehehe njoo baadae tunywe kahawa tupunguze mawazo mpenzi!
Yah everybody should take advantage of any situation kama ina benefit kwake kwa wakati huo mpaka akae sawa. Sasa wa kuimba hallelujah tunaimba, wa kujidanganya kupindisha hali halisi na maisha yalivyo wanaendelea, ilimradi kila mtu anafikia anapotaka na akiangalia nyuma anajiuliza, hivi ni mimi nimetoka mbali kule au sio mimi?? Uzuri Mungu ni wa wote ndio maana utakuta mchungaji mzuri tu mwishoni anamkosea Mungu na kwenda motoni ila kuna mwingine mtenda dhambi kubwa anapata Golden chance dakika za Mwisho anatubu, hii imekaaje?ni kweli
mie point yangu iko hapa
tunamsahau Mungu siku tukiwa na raha zetu
na pale shida inapotukamata ndo tunamkimbilia..
Ni kweli Mungu hamtupi mja wake..
lakini sisi binadamu ndo yulivyo..
tunachukua advantage ya huo msemo..