Utajua ujui
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 268
- 899
Na vipi Kama hiyo Ni simu yenye contacts za wateja? Maana watu Kama wanasheria wana data Na siri kibao ambazo Ni private Na confidential - zinatakiwa kufichwa Kama padri anavyoficha mambo ya waungamaji...Usimkataze. Mfanye asione haja ya kupekua simu yako. Kama hauna unavyoficha, why uogope?
Mara nyingi, mtu anayehisi kutendewa ubaya Ni yeye huwa anatenda ubaya... ya nini kuhisi mwenzio sio muaniminifu Na kuanza kupekua simu yake Kama kweli wewe huogopi kivuli cha matendo yako?Sasa anakumilikisha sehemu zake za siri aache kukagua simu yako ili ajue ajikinge vipi na gono na uti?.
Mkuu, data za siri zinatunzwa kwenye simu? Tena peupe tu ambapo mtu yeyote anaweza access? Data za siri si zingetunzwa kwenye hidden/secret folders au apps ambazo zingehitaji passwords na fingerprints na patterns kuzifungua?Na vipi Kama hiyo Ni simu yenye contacts za wateja? Maana watu Kama wanasheria wana data Na siri kibao ambazo Ni private Na confidential - zinatakiwa kufichwa Kama padri anavyoficha mambo ya waungamaji...
Mimi Mke wangu tangu nimuoe huu ni Mwaka wa 23 hajawahi hata kuishika- siku akiishika siku hiyo anajua itakuwa ndio talaka...achilia mbali simu- hata mifukoni mwa suruari hakagui...Na nimesikia mara nyingi akiwaambia watoto - don’t go to daddy’s pocket... very disrespectful. Na kweli hawaendi...
Omba Mungu akupe Mke bora wa Matamamanio yako Na atakupa...
Sina muda.Nawe pekua yake, halafu uje utushukuru.
Mara nyingi, mtu anayehisi kutendewa ubaya Ni yeye huwa anatenda ubaya... ya nini kuhisi mwenzio sio muaniminifu Na kuanza kupekua simu yake Kama kweli wewe huogopi kivuli cha matendo yako?
Na siku akiianza kupekua siku yako pia ndio mwanzo wa ugomvi lakini mwanzisha ugomvi Ni Yule aliyeanzisha hako ka mchezo ka upekuaji... in every action there is equal and opposite reaction ... ndivyo tulivyoambiwa kwenye darasa la physics - form 2-3... Na hii Ina apply kila siku ktk maisha...
Nilishamkataza kukagua simu yangu.Mara nyingi, mtu anayehisi kutendewa ubaya Ni yeye huwa anatenda ubaya... ya nini kuhisi mwenzio sio muaniminifu Na kuanza kupekua simu yake Kama kweli wewe huogopi kivuli cha matendo yako?
Na siku akiianza kupekua siku yako pia ndio mwanzo wa ugomvi lakini mwanzisha ugomvi Ni Yule aliyeanzisha hako ka mchezo ka upekuaji... in every action there is equal and opposite reaction ... ndivyo tulivyoambiwa kwenye darasa la physics - form 2-3... Na hii Ina apply kila siku ktk maisha...
Simu ya mkononi ni ya mtu mmoja sio wengi.Kuna watu mafundi wa kukagua simu za wanawake kama nyie wanaume?? Nyie mnaonaga mpo na haki ya kukagua simu zetu ila zenu hamtaki zishikwe.
Na kama haufanyi kitu kibaya kwa nini simu yako ikikaguliwa ukasirike?
Mjinga mwenyeweAcha ujinga bwana mdogo
Hapana siitaji tu.Usimkataze. Mfanye asione haja ya kupekua simu yako. Kama hauna unavyoficha, why uogope?
Sio malaya wala simcheat Ila sihitajiSasa anakumilikisha sehemu zake za siri aache kukagua simu yako ili ajue ajikinge vipi na gono na uti?.