Kaka issue Ni mazingira Kuanzia primary mpaka secondary yametofautiana mtu mmoja na mwingine any way Kila mtu anamtazamo wake Kama unaona upo sahihi okay shida haipoMkuu hii ni kwa advance ndo nimesoma tuition but kwa nature ya masomo ya O'level ukisoma huwezi kushindwa kuondoka na division 3
Kaka nadhani unajua nature ya maswali ya O'level? Inawezekanaje mwanafunzi akashindwa kujibu mpaka akachora picha za mazombiYeah mkuu kumbuka akili watu wanapewa na Mungu kama huamini katika ilo fanya mapinduzi ya kisayansi kupitia bachela yako ya udsm utukumboe watz na technology za abroad.
Nipo Mkuu.Ndgu yangu nakutafta Sana.
Njoo pm mkuu kabla ya yote
Watz Hali zetu zinajulikana mkuu hata mm nimezaliwa familia maskini na shule zote nimesoma za serikali.Kaka issue Ni mazingira Kuanzia primary mpaka secondary yametofautiana mtu mmoja na mwingine any way Kila mtu anamtazamo wake Kama unaona upo sahihi okay shida haipo
Wapi nimejiproud mkuu? issue ni inawezekanaje kufeli O'level?
kama ulipta o level Na haukuwa Na umimi(ego) unachangamana Na wote(weny uwezo Na wsio) hilo swali lako lilijibiwa kitambo
Ulivyoiona physics ya A level kuwa huwezi kupata A,na wenzako wanaiona ya O level hawawezi kupata hata C,unakuta walikua wazuri sana shule ya msingi,waliweka 150/150 yaan masomo yote matatu walipiga 50,50,50Kiukweli inanishangaza sana ni kwa kivipi Hawa watoto na wadogo zetu wanafeli mitihani yao ya kidato Cha nne, Kwa wale walioenda shule haswa watakubaliana na mimi kidato Cha kwanza mpaka Cha nne kwa mtu alienda shule kusoma ni vigumu Sana kufeli, inakuaje mpaka mtu anakosa hata kupata credit O'level?.
Nakumbuka kipindi nasoma hii level sio kwamba najisifia lakini ilikuwa ni vigumu kunikuta nje ya alama 70+ kwa masomo ya Sanaa na "A" kwa masomo ya physics, maths na chemistry na hii ilikuwa simple tu kwangu kupata one ya 13 na point 4 kwa PCM nilipangwa minaki advance but nikabadili na nikakubaliwa kwenda benjamini mkapa high school kwa PCM.
Nakumbuka siku ya kwanza niliingia kwa mbwembwe Sana maana nilikuwa najiamini Sana kwamba Niko fiti na Comb. niliyochagua ni sahihi na naimudu, kulikuwa na mwalimu anaitwa kiumbe ( nadhani ni Jina la utani) kwa A. maths alikuwa vizuri somehow na kila week kulikuwa na mtihani wa kupimana uwezo kwa F5 na F6 iliyokuwa inatolewa na huyu mwalimu, mwanzo kwa advance kila mtu alikuwa na Moto kweli maana wengi Olevel tulikuwa vizuri tulishibishwa vya kutosha na tuition za mchikichini kwa mood na hidden.
O'level ishu ya physics na maths ilikuwa ni simple Sana kwangu yaani hata ukiniamsha usingizini ukanipa mtihani wa physics nikikosa "A" Basi nitapata "B" inayokaribiana na "A", na hesabu kulikuwa hamna namna ya kupata "B" vyovyote vile lazma nipate "A", the same to chemistry.
Sasa kadri siku zilivyoenda nikiwa advance nikagundua " Physics is not easy again" Kama nilivozoea...Hapa nilikuwa nafundishwa darasani natolewa na mifano naona niko fiti kwelikweli nikikamata KITABU Cha "CHAND" na "FUNDAMENTAL OF ENGINEERING" kusolve maswali najiona mweupe na shida ikaanza pale nilipokuwa naenda mchikichini kufanya mitihani ya kila wiki iliyokuwa inatolewa pale shule ya msingi mchikichini ( mwalimu wa tuition aliyekuwa anatoa hii mitihani Nimemsahau) nakumbuka siku ya kwanza kufanya hii mitihani nilipata 15 ya 100 hapa zilikuwa topic3 tu( projection, Error na Friction).
Nikamfuata mzee nikamueleza kuhusu kunilipia tuition ( mzee hakuwa na shida maana aliujua uwezo wangu), Kama sikosei moody kwa phyisc kwa topic fupi ilikuwa ni15,000/= na Heat na electromagnetic,Modern na zingine ndefu Kama hizi ilikuwa 20,000/ = kwa kila topic na A. Maths kwa Mwalami ilikuwa ni 10,000/= na 15,000/= kwa topic fupi na ndefu, Baada ya kumpigia hesabu mzee kulingana na vipeperushi vilikuwa vimetolewa ilikuwa Kama 450,000/= kwa topic hizi za masomo mawili mpaka zote zinaisha.. mzee akanipa 500,000/=.
Nikaingia tuition nikaaanza topic za mwanzo kabisa, seriously A.maths na chemistry hazikunipa shida kwa asilimia kubwa lakini physics japo niliipa mda wa 70 asilimia kulisoma lakini bado sikuweza kupata "B" NECTA but NECTA nilifaulu kwa division one advance nikiwa na "C" ya physics, nikajiunga chuo udsm kusoma computer engineering. Leo ukiniuliza nirudi kusoma physics Advance ni kitu kitu ambacho siwezi kukubalia " Yaani shule nitarudi ila sio kwa advance physics".
Huwa najiuliza inakuaje mtu anafeli elimu ya kidato Cha nne(4) yaani anapata div.0 au division 4 inawezekana vipi?, Kwa advance haswa kwa masomo ya PCM, CBG, PGM,PCB inawezekana Tena kirahisi Sana kwa walio soma hizi comb. Watanielewa Sana, Ila kwa Hawa O'level inawezekanaje mwanafunzi akakosa Cha kujibu mpaka akapata division 0?.
Kiukweli Mimi huwa simuelewi mtu anaefeli kidato Cha nne, hakuna namna ya mtu aliyesoma vizuri akapata zero au four kidato Cha nne.HAKUNA, mitihani ya level hii inaeleweka na kujibika vizuri mno kwa mtu aliyejiandaa.
Labda Niko wrong nisaidieni kujua inakuaje Hawa watoto na wadogo zetu wanafeli kidato Cha nne?
Uzi wako umebeba mengi ila pamoja na nia ya kutaka kujua inawezekanaje kufeli o'level pia kuna kaunafiki na majigambo by the way Mimi nilifeli form two na form four nikascore div 4 wakati tunaendelea kutafuta majibu ni vizuri tukawa tunatafakari inawezekanaje degree holder akakosa ajira na pia akashindwa kutumia elimu yake kusurvive maisha mtaani.?Kiukweli inanishangaza sana ni kwa kivipi Hawa watoto na wadogo zetu wanafeli mitihani yao ya kidato Cha nne, Kwa wale walioenda shule haswa watakubaliana na mimi kidato Cha kwanza mpaka Cha nne kwa mtu alienda shule kusoma ni vigumu Sana kufeli, inakuaje mpaka mtu anakosa hata kupata credit O'level?.
Nakumbuka kipindi nasoma hii level sio kwamba najisifia lakini ilikuwa ni vigumu kunikuta nje ya alama 70+ kwa masomo ya Sanaa na "A" kwa masomo ya physics, maths na chemistry na hii ilikuwa simple tu kwangu kupata one ya 13 na point 4 kwa PCM nilipangwa minaki advance but nikabadili na nikakubaliwa kwenda benjamini mkapa high school kwa PCM.
Nakumbuka siku ya kwanza niliingia kwa mbwembwe Sana maana nilikuwa najiamini Sana kwamba Niko fiti na Comb. niliyochagua ni sahihi na naimudu, kulikuwa na mwalimu anaitwa kiumbe ( nadhani ni Jina la utani) kwa A. maths alikuwa vizuri somehow na kila week kulikuwa na mtihani wa kupimana uwezo kwa F5 na F6 iliyokuwa inatolewa na huyu mwalimu, mwanzo kwa advance kila mtu alikuwa na Moto kweli maana wengi Olevel tulikuwa vizuri tulishibishwa vya kutosha na tuition za mchikichini kwa mood na hidden.
O'level ishu ya physics na maths ilikuwa ni simple Sana kwangu yaani hata ukiniamsha usingizini ukanipa mtihani wa physics nikikosa "A" Basi nitapata "B" inayokaribiana na "A", na hesabu kulikuwa hamna namna ya kupata "B" vyovyote vile lazma nipate "A", the same to chemistry.
Sasa kadri siku zilivyoenda nikiwa advance nikagundua " Physics is not easy again" Kama nilivozoea...Hapa nilikuwa nafundishwa darasani natolewa na mifano naona niko fiti kwelikweli nikikamata KITABU Cha "CHAND" na "FUNDAMENTAL OF ENGINEERING" kusolve maswali najiona mweupe na shida ikaanza pale nilipokuwa naenda mchikichini kufanya mitihani ya kila wiki iliyokuwa inatolewa pale shule ya msingi mchikichini ( mwalimu wa tuition aliyekuwa anatoa hii mitihani Nimemsahau) nakumbuka siku ya kwanza kufanya hii mitihani nilipata 15 ya 100 hapa zilikuwa topic3 tu( projection, Error na Friction).
Nikamfuata mzee nikamueleza kuhusu kunilipia tuition ( mzee hakuwa na shida maana aliujua uwezo wangu), Kama sikosei moody kwa phyisc kwa topic fupi ilikuwa ni15,000/= na Heat na electromagnetic,Modern na zingine ndefu Kama hizi ilikuwa 20,000/ = kwa kila topic na A. Maths kwa Mwalami ilikuwa ni 10,000/= na 15,000/= kwa topic fupi na ndefu, Baada ya kumpigia hesabu mzee kulingana na vipeperushi vilikuwa vimetolewa ilikuwa Kama 450,000/= kwa topic hizi za masomo mawili mpaka zote zinaisha.. mzee akanipa 500,000/=.
Nikaingia tuition nikaaanza topic za mwanzo kabisa, seriously A.maths na chemistry hazikunipa shida kwa asilimia kubwa lakini physics japo niliipa mda wa 70 asilimia kulisoma lakini bado sikuweza kupata "B" NECTA but NECTA nilifaulu kwa division one advance nikiwa na "C" ya physics, nikajiunga chuo udsm kusoma computer engineering. Leo ukiniuliza nirudi kusoma physics Advance ni kitu kitu ambacho siwezi kukubalia " Yaani shule nitarudi ila sio kwa advance physics".
Huwa najiuliza inakuaje mtu anafeli elimu ya kidato Cha nne(4) yaani anapata div.0 au division 4 inawezekana vipi?, Kwa advance haswa kwa masomo ya PCM, CBG, PGM,PCB inawezekana Tena kirahisi Sana kwa walio soma hizi comb. Watanielewa Sana, Ila kwa Hawa O'level inawezekanaje mwanafunzi akakosa Cha kujibu mpaka akapata division 0?.
Kiukweli Mimi huwa simuelewi mtu anaefeli kidato Cha nne, hakuna namna ya mtu aliyesoma vizuri akapata zero au four kidato Cha nne.HAKUNA, mitihani ya level hii inaeleweka na kujibika vizuri mno kwa mtu aliyejiandaa.
Labda Niko wrong nisaidieni kujua inakuaje Hawa watoto na wadogo zetu wanafeli kidato Cha nne?
Mkuu kwa advance ni issue Kama umepita hasa kwa masomo ya sayansi utakubaliana na mm.Ulivyoiona physics ya A level kuwa huwezi kupata A,na wenzako wanaiona ya O level hawawezi kupata hata C,unakuta walikua wazuri sana shule ya msingi,waliweka 150/150 yaan masomo yote matatu walipiga 50,50,50
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uandishi huu ndo unasimanga wenzako kweli!!!! Kuna watu hata pai hawaijui wanafanya biashara zao vizuri na wamefanikiwa kimaishaKama mtu unakuta dume zima halitaki kusikia pysics, chemistry , wala hesabu ya aina yoyote toka form one linajiita mimi ni H e Chi Ji Ero ujue hilo ni vivu ra kutumia ubongo na uwezekano wa kuferi hata hayo ma H e Chi Ji Ero ni mkubwa. Yaani ri mtu harikaki kusikia chochote kinachohusisha hesabu.......>>> KIRAZA>>>
Haikuwa na nia hiyo mkuu, lakini mawzo yako nayaheahimu Kaka.. Hiyo issue ya bachelor holder kutumia elimu zao kujiajiri kwa Leo Sina jibu mkuu.Uzi wako umebeba mengi ila pamoja na nia ya kutaka kujua inawezekanaje kufeli o'level pia kuna kaunafiki na majigambo by the way Mimi nilifeli form two na form four nikascore div 4 wakati tunaendelea kutafuta majibu ni vizuri tukawa tunatafakari inawezekanaje degree holder akakosa ajira na pia akashindwa kutumia elimu yake kusurvive maisha mtaani.?
Kama kweli ulisoma shule za serikali hukutakiwa kuja kuuliza humu sababu za kutofanya vizur kwa ngazi ya kidato cha NNE. Sample unayo wewe mwenyewe kwa sababu najua hamkufaulu wote ,,,sasa tuambie kwanini mlifaulu wachache ?Watz Hali zetu zinajulikana mkuu hata mm nimezaliwa familia maskini na shule zote nimesoma za serikali.
Kwa nature ya mitihani ya O'level, inawezekanaje mwanafunzi akashindwa kujibu mpaka akachora picha za zombi kwenye mitihani?
Mkuu kwa advance ni issue Kama umepita hasa kwa masomo ya sayansi utakubaliana na mm.
O'level masomo yake ni meupe Sana hata maswali yake yako wazi pia inawezekanaje kupata zero huku? Hilo ndo swali langu
Issue sio biashala ni ukiraza!!! wewe kweri hata 4figure hujui kuitumia? haya basi hata log? basi yawezekana huku kwenye Dx , dy na calliculus kwa ujumla ukasema kichwa kinawaka moto basi hata faraday na bernoulli zinakushinda si utakuwa unaibiwa tu na wafanyakazi wako?Kwa uandishi huu ndo unasimanga wenzako kweli!!!! Kuna watu hata pai hawaijui wanafanya biashara zao vizuri na wamefanikiwa kimaisha
Sent using Jamii Forums mobile app