Inakuaje kuaje mnaiponda Dar ?

Inakuaje kuaje mnaiponda Dar ?

Zamani na sasa watoto waomaliza form four wanajaza
shule za dar
Vyuo vya dar

Wakimaliza shule likizo wote wanataman kwenda dar .....yani kila mtu huko mikoani anataka dar

kuna vijana wenzetu wengi tu wako mikoani hawajawai kufika dar kila siku wanaiota dar

Halafu kanatokea ka kundi ka watu kanaanza kuiponda dar.kisa tu et kuna mashoga .......hao mashoga si wanatoka mikoani ,wakifika mjini wanataka kuteleza ndio wanaishia kuzibuliwa ......

Msiiponde dar,mimi bila shule dar ningeisikia tu kama wengine wa mikoani huko.ila saizi natamba tu nmesoma hapa hapa na sasa naelekea kujenga hapa hapa mkoani nitaenda kusalimia ndugu na jamaaa

Msituponde sisi wa dar,siku hizi tukiulizwa bado uko dar smtym tunadanganya.ila pokeeni Ombi letu msituponde sana
Kwa upeo wako wewe dar ndo unaona bonge LA mji duniani!?....safiri uone Mimi wewe!!
 
Kwa upeo wako wewe dar ndo unaona bonge LA mji duniani!?....safiri uone Mimi wewe!!
Hivi huko mikoani huwa mnawaza nini lakini.hapa tunaongelea tz,wewe unaleta habari za duniani.
 
Back
Top Bottom